


10 1:10 Za 33:7 90:2 95:5 Ay 38:8 Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.ġ1 1:11 Za 65:9-13 104:14 Mwa 2:9 Law 11:14, 19 1Kor 15:38 Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. 8 1:8 Ay 38:8-11 Za 33:7 95:5 104:6-9 Mit 8:29 Yer 5:22 2Pet 3:5 Hag 2:6 Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.ĩ Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo. 5 1:5 Mwa 2:19, 23 Za 74:16 Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.Ħ 1:6 Isa 44:24 2Pet 3:5 Za 24:2 136:6 Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.” 7 1:7 Mwa 7:11 Ay 26:10 38:8-16 Za 68:33 148:4 Mit 8:28 Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.ģ 1:3 Za 33:6-9 148:5 Ebr 11:3 2Kor 4:6 1Yn 5:7 Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo. 日本語 | Japanese Contemporary Bible (JCB).中文 | Chinese Contemporary Bible (Traditional) (CCBT).中文 | Chinese Contemporary Bible (Simplified) (CCB).ไทย | Thai New Contemporary Bible (TNCV).हिन्दी | Hindi Contemporary Version (HCV).አማርኛ | New Amharic Standard Version (NASV).فارسی | Persian Contemporary Bible (PCB).עברית | Habrit Hakhadasha/Haderekh (HHH).Српски/ Srpski | New Serbian Translation (NSP).Русский | New Russian Translation (NRT).Twi | Asante Twi Contemporary Bible (ASCB).Twi | Akuapem Twi Contemporary Bible (AKCB).Tiếng Việt | Vietnamese Contemporary Bible (VCB).Svenska | Swedish Contemporary Bible (NUB).Română/Ромынэ | Nouă Traducere În Limba Română (NTLR).

Português | Nova Versão Internacional (NVI-PT).Luganda | Luganda Contemporary Bible (LCB).Kiswahili | Kiswahili Contemporary Version (Neno: Bibilia Takatifu) (NEN).Kichwa: Chaupi Urcucuna | Mushuj Testamento Diospaj Shimi (MTDS).Filipino | Tagalog Contemporary Bible (TCB).Español | Nueva Versión Internacional (NVI).Español | Nueva Versión Internacional (Castilian) (CST).English | New International Version (NIV).English | New International Version – UK (NIVUK).English | New International Reader’s Version (NIRV).Chichewa | Mawu a Mulungu mu Chichewa Chalero (CCL).Cebuano | Ang Pulong Sa Dios (APSD-CEB).
